MASHAKA YA SAA MBOVU
Upepe mkali ulivuma, ulio ambatana pamoja na ngurumo vumbi kali jeusi lilitimka timu timuu.. Miti mikubwa pamoja na minazi iliyo pepesuka mithili ya gari bovu kwenye mlima wa changarawe!Baadaya mbilingembilinge zote hizi kutokea kulionekana wakazi wa pale waki pita pita maeneo tofauti tofauti kwa shughuli zao za hapa na pale,
Mwali mbichi mwembamba rangi ya maji ya chungwa, sura ya duara na macho mviringo wa yai ya kulegea kama aliyekula kungu, chuchu za saa sita na nyonga zinazoendelea kukua kwa kasi urefu wa futi 5 na umri wa miaka 19. Jina lake BETINA.
BETINA iliokota saa iliyo onekana siyo mpya ambayo hakutarajia kuipata kwani ilonekana ikale kidogo iliyo mpita kama masika kumi, iliyo valia kwa mtindo wakisasa haswa tena wa kijana leo! Ni saa iliyo mfurahisha mlibwende huyo na wengine wote walio mzunguka katika nƴakatizake zote kwa sababu yeye ni saa!
Saa ya BETINA ili msaidia sana wakati wote alipo ihitaji kuitumia ilienda sawa na kumfurahisha binti huyu pasi na sokomoko! Na hadithi rejea wala ngonjera ya aina yoyote ile aliamini saa hii na kutajiwa muda wowote pindi anapoiuliza!
Saa ilipoanza kupoteza nyakati usiku kusoma mchana na mchana kusoma usiku basi? mwali huvyu ili nyong'onyezwa sana kwa kuwa hakuzoea vitibwi! nadhurububa ya mahaba yaliyo kosa ghaiba yenyenyingi nasaba kwenye viwanja vyote vya sabasaba laaah mlibwende huyu hakujua kama kusamehe ni mara saɓa sabini na kusahau kuwa tafsiri ya kusahau ni kupuuza! nasio kulipiza kisasi au kukumbuka, Betina alipatwa na ngonjwa kubwa!
Ni mwenye kupoteza kumbukumbu, kuongea akiwa peke yake, mwenyekupenda ugomvi, kujiona hanathamani, kuto kujiheshimu basi familia iliendelea kuumizwa kichwa na binti yale wali tumia dawa za hospital mpaka kwa kalmanzila lakini hali iliendelea kua mbaya tena mbaya zaidi betina amepata kichaa kwa sababu aliathirika kwenye moyo na ubongo kwa ngojwa la SONONO.
Nigonjwa linalo athiri moyo na ubongo kupoteza kumbumbu,kujichukia,kuona unaonewa, kudhulumiwa, kujilaumu na kufanya mambo ambayo ujatarajiwa kuyafanya katika mazingira unayo ishi.
Ɓrighton sanga

0 comments: